Back to Health Books

Tiba Asili ya Kisukari

4 reviews
100% of buyers enjoyed this product! 1 orders

Sh 5,000.00

➡ Mtunzi: Baraka Oscar Mung’ong’o
➡ Aina: Kitabu cha Kidigitali
➡ Mwaka: 2020
➡ Kurasa: 34
➡ ISBN 978 9987 9970 3 9
➡ Mchapishaji: Trisoftnet Incorporation Limited
➡ Mhariri Mkuu: Milembe Ezekiel
➡ Msanifu wa Kava: Baraka Oscar Mung’ong’o
➡ Unaweza Kukipakua ndani ya dakika 5 – 30

999998 in stock

Item: 1 Sales
Buyer protection
Safe shopping
Easy returns and refunds
Free shipping worldwide

Tiba Asili ya Kisukari na Magonjwa Mwambatano

Tiba asili ya kisukari na magonjwa mwambatano ipo lakini dunia nzima imeaminishwa kuwa kisukari ni ugonjwa usiotibika. Wagonjwa wa kisukari wamekuwa wakipewa dawa za kutumia kipindi chote cha maisha yao. Hakika ni maisha yenye mateso sana kumeza dawa kila siku ili ubakie kuwa hai.

Ilinichukua miaka mitatu kupambana na tatizo la kisukari ambalo lilijitokeza ghafla. Mwanzoni nilipewa dawa ambazo nilipaswa kumeza kidonge kimoja kila siku asubuhi baada ya kula. Hata hivyo mwaka mmoja baadaye niliambiwa niwe nameza viwili yaani asubuhi na jioni. Sababu kile kidonge kimoja hakikunisaidia kabisa. Nikiwa bado sijajua hatma yangu, shinikizo la damu likapanda na likawa linanisumbua sana. Nikaambiwa haya ni matokeo ya kuwa na kisukari. Nilipoteza matumaini ya kuishi maisha ya furaha kwani nilikuwa sina furaha kabisa linapokuja suala la kula.

Nikiwa likizo kijijini kwetu kuwasalimia ndugu na jamaa, nilimweleza baba yangu mdogo tatizo lililokuwa linanisibu. Akashangaa na kuuliza kwa nini sikumwambia mapema. Aliniambia anaifahamu dawa ambayo itaniponya kisukari. Moyo wangu ulikuwa na mashaka kwa sababu niliamini kisukari hakiponi.

Hata hivyo nilikubali kutumia dawa yake, ilinichukuwa mwezi mmoja tu kukitokomeza kisukari na presha mwilini mwangu. Kama umesumbuka sana na ugonjwa wa kisukari kwa sasa lipo suluhisho la kudumu.

Yaliyomo

➡ Dibaji … 3
➡ Shukrani … 4
➡ Maelezo Muhimu … 5
➡ Sura ya 1: Mimea Tiba … 6
➡ Sura ya 2: Kinga ni Bora Kuliko Tiba … 8
➡ Sura ya 3: Magonjwa Sugu Mwambatano … 12
➡ Sura ya 4: Ugonjwa wa Kisukari … 15
➡ Sura ya 5: Tiba ya Ugonjwa wa Kisukari  … 22
➡ Sura ya 6: Mmea wa Ajabu  … 32

Onyo

Haki Zote Zimehifadhiwa. Huruhusiwi kutoa nakala ya kitabu hiki au sehemu ya kitabu hiki kwa sababu yoyote ile bila ruhusa ya mmliki wa kitabu kwa maandishi. Juhudi na gharama zimetumika kuandaa kitabu hiki kwa usahihi na umakini mkubwa sana kwa lengo la kutoa elimu na ujumbe ulio bora zaidi.

Ikithibitika kwa namna moja au nyingine umehusika kudurufu nakala au kusambaza katika mitandao ya kijamii na mingineyo nakala ya kitabu hiki utakuwa umetenda uharifu chini ya sheria ya makosa ya mtandao. Adhabu ya kifungu au faini au vyote kwa pamoja vinaweza kutolewa dhidi yako. Epuka wizi, kuwa mzalendo kwa kununua kazi za wasanii wetu. Wizi haukubaliki kiimani na hata kijamii.

Hata hivyo, taarifa, ujumbe au mafunzo yanayopatikana katika kitabu hiki hayana uhusiano wowote na matokeo ya msomaji. Mwandishi, mchapishaji au msambazaji hatawajibika kwa tatizo lolote litakalojitokeza kutokana na usomaji wa kitabu hiki.

Shipping and delivery

We are proud to offer international shipping services that currently operate in over 200 countries and islands world wide. Nothing means more to us than bringing our customers great value and service. We will continue to grow to meet the needs of all our customers, delivering a service beyond all expectation anywhere in the world.

How do you ship packages?

Packages from our warehouse in China will be shipped by ePacket or EMS depending on the weight and size of the product. Packages shipped from our US warehouse are shipped through USPS.

Do you ship worldwide?

Yes. We provide free shipping to over 200 countries around the world. However, there are some locations we are unable to ship to. If you happen to be located in one of those countries we will contact you.

What about customs?

We are not responsible for any custom fees once the items have shipped. By purchasing our products, you consent that one or more packages may be shipped to you and may get custom fees when they arrive to your country.

How long does shipping take?

Shipping time varies by location. These are our estimates:

Location *Estimated Shipping Time
United States 10-30 Business days
Canada, Europe 10-30 Business days
Australia, New Zealand 10-30 Business days
Central & South America 15-30 Business days
Asia 10-20 Business days
Africa 15-45 Business days
*This doesn’t include our 2-5 day processing time.

Do you provide tracking information?

Yes, you will receive an email once your order ships that contains your tracking information. If you haven’t received tracking info within 5 days, please contact us.

My tracking says "no information available at the moment".

For some shipping companies, it takes 2-5 business days for the tracking information to update on the system. If your order was placed more than 5 business days ago and there is still no information on your tracking number, please contact us.

Will my items be sent in one package?

For logistical reasons, items in the same purchase will sometimes be sent in separate packages, even if you have specified combined shipping.

If you have any other questions, please contact us and we will do our best to help you out.

Refunds & returns policy

Order cancellation

All orders can be cancelled until they are shipped. If your order has been paid and you need to make a change or cancel an order, you must contact us within 12 hours. Once the packaging and shipping process has started, it can no longer be cancelled.

Refunds

Your satisfaction is our #1 priority. Therefore, you can request a refund or reshipment for ordered products if:

  • You do not receive them within the guaranteed time (45 days not including 2-5 day processing)
  • You receive the wrong item
  • You do not want the product you have received (but you must return the item at your expense and the item must be unused)

We do not issue the refund if:

  • Your order does not arrive due to factors within your control (e.g. providing the wrong shipping address)
  • Your order does not arrive due to exceptional circumstances outside our control (e.g. not cleared by customs, delayed by a natural disaster)
  • Other exceptional circumstances outside the control of store.trisoftnet.co.tz

*You can submit refund requests within 15 days after the guaranteed period for delivery (45 days) has expired. You can do it by sending a message on page.

If you are approved for a refund, then your refund will be processed, and a credit will automatically be applied to your credit card or original method of payment, within 14 days.

Exchanges

If for any reason you would like to exchange your product, perhaps for a different size in clothing. You must contact us first and we will guide you through the steps.

Please do not send your purchase back to us unless we authorise you to do so.

Real customer reviews

4 reviews
100% of buyers enjoyed this product!
5 stars
( 4 )
4 stars
( 0 )
3 stars
( 0 )
2 stars
( 0 )
1 star
( 0 )
  1. J******h

    Asante sana

  2. U*****h

    Nimekipata

  3. W*****a

    Ubarikiwe kwa dawa

  4. J****e

    Asante kwa tiba

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.